Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 380

Category: featured

TANEXA Yalalamikia Wingi wa Beria Mpakani mwa Tanzania na Uganda

Posted on: March 20, 2013 - jomushi
TANEXA Yalalamikia Wingi wa Beria Mpakani mwa Tanzania na Uganda

Na Mwandishi Wetu, Bukoba SHIRIKISHO la Wasafirishaji Bidhaa nje ya nchi (TANEXA) wamelalamikia kukithiri kwa vituo vya ukaguzi wa magari (beria) na mizigo vilivyopo barabarani,…

Continue Reading....

Ujumbe wa CCM Wakutana na Naibu Waziri Mambo ya Nje wa China

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Ujumbe wa CCM Wakutana na Naibu Waziri Mambo ya Nje wa China

Continue Reading....

Bilioni 18 Kutumika Kuchimba Visima vya Maji Kimbiji

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Bilioni 18 Kutumika Kuchimba Visima vya Maji Kimbiji

Na Frank John-Maelezo Jumla ya shilingi bilioni 18 zitatumika kwa ajili ya uchimbaji wa visima 20 vya maji vitakavyokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya…

Continue Reading....

Rais: Tutaendelea Kukopa kwa Maendeleo Yetu

Posted on: March 19, 2013March 19, 2013 - jomushi
Rais: Tutaendelea Kukopa kwa Maendeleo Yetu

Ili mradi mikopo iwe ya masharti nafuu na yenye manufaa kwa wananchi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa…

Continue Reading....

Rais wa China Kuzinduwa Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Rais wa China Kuzinduwa Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere

Hassan Silayo-Maelezo RAIS wa China, Xi Jinping anatarajia kufungua Jengo la Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa la Julius Nyerere Convertion Centre lililopo jijini Dar-es-Salaam linalomilikiwa…

Continue Reading....

Lwakatare Ashtakiwa kwa Ugaidi, Kupanga Kumdhuru Mwanahabari

Posted on: March 19, 2013 - jomushi
Lwakatare Ashtakiwa kwa Ugaidi, Kupanga Kumdhuru Mwanahabari

MKUU wa Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Rwezaura wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu waki kabiliwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari