Category: featured
WAFANYAKAZI Benki ya Posta Kunufaika na Mfuko wa Kufarijiana
WAFANYAKAZI wa Benki ya Posta Tanzania, wataendelea kunufaika na mfuko wao uitwao “Mfuko wa Kufarijiana” , unaowawezesha wafanyakazi kupata mafao mbalimbali pindi wanapofikwa na tatizo.…
Continue Reading....Utafiti wa TAMWA Wamrudisha Mwanafunzi shuleni Handeni
Na dev.kisakuzi.com, Handeni UTAFITI wa kihabari uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Machi 2012 umefanikisha kumrudisha shuleni mwanafunzi wa sekondari aliyekuwa…
Continue Reading....Mke wa Rais wa China Aipongeza WAMA
Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais wa China Mama Peng Liyuan amezipongeza kazi zinazofanywa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kupitia taasisi…
Continue Reading....Absalom Kibanda Atuma Salamu kwa Watanzania
I could not resist! Yes I cried! But Absalom is the same person I knew last two months! Amesimama! Mungu ni Mwema!!! Anaomba watanzania wamwombee…
Continue Reading....Mradi wa DART Wazua Jambo kwa Wafanyabiashara Barabara ya Morogoro
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akijadili na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usafiri wa Haraka (DART) Asteria Mlambo pamoja na watendaji wengine…
Continue Reading....