Category: featured
CCM Yakanusha Jitegemee Trading Company Kuingia Ubia na TPA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kimekanusha tuhuma za kudaiwa kuingia mkataba wa ubia na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA) kupitia kampuni inayomilikiwa na chama hicho,…
Continue Reading....Watuhumiwa 11 Kesi ya Kuporomosha Ghorofa Kizimbani
MFANYABIASHARA Radha Hussein Ladha wa jijini Dar es Salaam, Diwani katika Manispaa ya Kinondoni, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki (59) na wenzao 9, jana walifikishwa…
Continue Reading....Mvutano Kuhusu Haki ya Kuchinja Wanyama Wazua Vurugu Tunduma
VURUGU kubwa zilizuka jana katika Mji wa Tunduma ambao ni makao makuu ya Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, baada kutokea mvutano mkali kuhusu nani…
Continue Reading....Timu ya Pili Kutoka Kenya Yatinga Fainali za Pan-African
KATIKA sehemu ya tatu jana (Aprili 3, 2013) usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV, mashindano ya Guinness Football Challenge yalionesha ni jinsi gani…
Continue Reading....Polisi Wawasaka Diwani na Mchungaji KKKT Vurugu za Tunduma
DIWANI wa Kata ya Tunduma, Frank Mwaijoka (Chadema) pamoja na Mchungaji wa Kanisa la KKKT katika eneo hilo la Tunduma wilayani momba Mkoani mbeya wametakiwa…
Continue Reading....