Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 367

Category: featured

Dk. Mwakyembe Kuliangalia Umpya Ongezeko la Nauli za Mabasi, Daladala

Posted on: April 7, 2013 - jomushi
Dk. Mwakyembe Kuliangalia Umpya Ongezeko la Nauli za Mabasi, Daladala

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe amewaahidi wananchi kuhakikisha analifuatilia suala la ongezeko la nauli mabasi na daladal kwa kina ili kuangalia…

Continue Reading....

Bloggers United Waibuka Kidedea Media Day 2013

Posted on: April 6, 2013 - jomushi
Bloggers United Waibuka Kidedea Media Day 2013

TIMU ya mpira wa miguu ya wana – Bloggers imeibuka kidedea baada ya kuifunga bila huruma mabao 5-4 timu ya mpira wa miguu ya Chuo…

Continue Reading....

Mbunge Mnyika Ahaidi Kumsomesha Mwanafunzi Bora Chuo cha Jinsia

Posted on: April 6, 2013 - jomushi
Mbunge Mnyika Ahaidi Kumsomesha Mwanafunzi Bora Chuo cha Jinsia

Na Joachim Mushi MBUNGE wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ameahidi kumsomesha mwanafunzi bora wa Chuo…

Continue Reading....

Nape Nnauye Awasili Kilimanjaro, Kuunguruma Kesho

Posted on: April 5, 2013April 5, 2013 - jomushi
Nape Nnauye Awasili Kilimanjaro, Kuunguruma Kesho

  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohammed baada ya kuwasilili jioni hii kwenye…

Continue Reading....

Serikali Yapunguza Gharama za Chanjo za Mifugo

Posted on: April 5, 2013April 5, 2013 - jomushi
Serikali Yapunguza Gharama za Chanjo za Mifugo

Na Waandishi Wetu- Dar es Salaam-MAELEZO SERIKALI imepunguza gharama za chanjo na dawa za mifugo kutokana na kuanzishwa kwa Taasisi ya Uzalishaji Chanjo za Mifugo…

Continue Reading....

Tanzania Yaionya Malawi Kuhusu Mgogoro wa Mpaka

Posted on: April 5, 2013 - jomushi
Tanzania Yaionya Malawi Kuhusu Mgogoro wa Mpaka

Na Benedict Liwenga, Johary Kachwamba na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI ya Tanzania imeitaka nchi ya Malawi iache kutapa tapa juu ya mgogoro wa mipaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari