Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 343

Category: featured

SBL Yaandaa Usiku wa Maofisa Masoko Golden Tulip

Posted on: April 26, 2013 - jomushi
SBL Yaandaa Usiku wa Maofisa Masoko Golden Tulip

Continue Reading....

Ngoma Africa Yawatakia heri ya Muungano Watanzania Wote

Posted on: April 26, 2013 - jomushi
Ngoma Africa Yawatakia heri  ya Muungano Watanzania Wote

BENDI ya muziki wa dansi “Ngoma Africa Band” a.k.a FFU yenye maskani nchini  Ujerumani inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO…

Continue Reading....

Adolf ‘Brian’ Tadeous Rwekagende Afariki Dunia New Jersey

Posted on: April 26, 2013 - jomushi
Adolf ‘Brian’ Tadeous Rwekagende Afariki Dunia New Jersey

TUNAOMBA kutoa taarifa kuwa kijana aliyejulikana kwa jina la Adolf, Brian au Tadeous Rwekagende amefariki dunia New Jersey, USA. Alikua anasema alisoma Tambaza na alikua…

Continue Reading....

‘Watakiwa Kutumia Rasilimali Kupambana na Ukimwi’

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
‘Watakiwa Kutumia Rasilimali Kupambana na Ukimwi’

Na Magreth Kinabo, Maelezo JAMII imeshauriwa kuwekeza rasilimali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Afya na Ustawi…

Continue Reading....

Rais Dk Shein Awashangaa Wanaobeza Muungano

Posted on: April 25, 2013 - jomushi
Rais Dk Shein Awashangaa Wanaobeza Muungano

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewashaangaa…

Continue Reading....

Timu Kutoka Afrika Mashariki Yaingia Nusu Fainali Guiness Football Challenge

Posted on: April 25, 2013April 25, 2013 - jomushi
Timu Kutoka Afrika Mashariki Yaingia Nusu Fainali Guiness Football Challenge

*Washiriki bora kutoka Afrika kuingia robo fainali ya pili kuwania kufuzu nusu fainali ROBO fainali ya kwanza ya Pan-African GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ ilifanyika jana usiku…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari