JANA usiku (Mai 15, 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV washindi kutoka Ghana katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walisheherekea ushindi wao wa kufuzu nusu…
Continue Reading....Category: featured
Shughuli za mpakani zaathiri elimu ya sekondari Rombo
Na Joachim Mushi, Rombo SHUGHULI za biashara zinazoendeshwa maeneo kadhaa ya mpakani mwa Tanzania na Kenya katika Wilaya ya Rombo zimeathiri maendeleo ya elimu hasa…
Continue Reading....Tume ya Kidato cha IV Yatoa Mapendekezo 130
TUME ya Kuchunguza Kushuka kwa Kiwango cha Ufaulu wa Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2012, imetoa mapendekezo 130, mojawapo ikitaka kupitiwa upya…
Continue Reading....Prof. Lipumba Asema Kuna Njama za Kumwongezea JK Muda
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya…
Continue Reading....Mkurugenzi ILO Akitembelea Kikundi cha Waathirika wa Ukimwi cha Chimbuko
Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Kanda ya Afrika Mashariki nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo akikagua kinywaji aina ya ‘paw paw wine’ na mkononi akiwa…
Continue Reading....Wananchi Watishia Kunywa Gongo
Na Mwandishi Wetu BAADHI ya wananchi jijini Dar es Salaam, wamelalamikia hoja iliyozuka bungeni wiki hii kwamba kinywaji cha Konyagi aina ya Kiroba kipigwe marufuku…
Continue Reading....