RAIS wa Afrika kusini Jacob Zuma, amesema kuwa nchi yote inazidi kumwombea Mzee Nelson Mandela ili apate afueni haraka. Rais huyo wa zamani amelazwa hospitalini…
Continue Reading....Category: featured
CCM Wapinga Mfumo wa Serikali Tatu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni…
Continue Reading....Serikali Yahimiza Umezaji wa Dawa za Mabusha na Matende
Hussein Makame – MAELEZO SERIKALI imewaomba wananchi wa mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza wenye umri kuanzia miaka mitano na kuendelea kujitokeza kwa wingi…
Continue Reading....Kampuni ya Bia ya Serengeti Yaahidi Kuendelea Kudhamini Tamasha la Bulabo
KWA shangwe kubwa maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Magu jijini Mwanza wamekuwa wakishuhudia burudani ya ngoma za asili za kabila la wasukuma ’Bulabo’ ambalo…
Continue Reading....