Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 298

Category: featured

Polisi Yatuma Timu Kuchunguza Bomu Mkutano wa Chadema Arusha

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Polisi Yatuma Timu Kuchunguza Bomu Mkutano wa Chadema Arusha

KUFUATIA mlipuko wa bomu uliotokea katika mkutano wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuuwa watu wawili na majeruhi zaidi ya 60 katika mkutano…

Continue Reading....

Dk. Hoseah Adai Serikali Imenifunga Mikono

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Dk. Hoseah Adai Serikali Imenifunga Mikono

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, amefunguka na kueleza sababu za taasisi yake kushindwa kuwakamata walarushwa wakubwa…

Continue Reading....

Ugaidi Tena Arusha, Bomu Lalipuka Lajeruhi na Kuua

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Ugaidi Tena Arusha, Bomu Lalipuka Lajeruhi na Kuua

MKUTANO wa Chadema wa kumaliza kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mjini Arusha, jana ulivunjika baada ya bomu kulipuka na kuua watu wanne na wengine…

Continue Reading....

UWT Yawafanyia Sherehe Viongozi wa Chama cha PLO

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
UWT Yawafanyia Sherehe Viongozi wa Chama cha PLO

Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT), Sophia Simba akiwalaki Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Jehad Abu Zead na…

Continue Reading....

Nape Awapongeza Arusha kwa Kuitosa Chadema

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Nape Awapongeza Arusha kwa Kuitosa Chadema

*Atamba CCM kuzoa kata zote KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg.Nape Nnauye amewataka wananchi kwenye kata zinazofanya uchaguzi mdogo kesho kupuuza alivyoviita vitimbi…

Continue Reading....

Wawakilishi wa Tanzania Mashindano ya Guinness Football Challenge Washerehekea..!

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Wawakilishi wa Tanzania Mashindano ya Guinness Football Challenge Washerehekea..!

BAADA ya kumalizika kwa mashindano ya Guinness Football Challenge yaliyokuwa yakiendeshwa na Kupitia kipindi maarufu cha Guinness Football Challenge TV Show, hatimaye wawakilishi wa Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari