Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 266

Category: featured

JK Amteuwa Balozi Lumbanga Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi PPRA

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
JK Amteuwa Balozi Lumbanga Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi PPRA

Na Jennifer Chamila – Maelezo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amemteua Balozi Matern Lumbanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya…

Continue Reading....

Mafunzo kwa Redio za Kijamii Yaliyofanyika Mkoani Kagera

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Mafunzo kwa Redio za Kijamii Yaliyofanyika Mkoani Kagera

Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera na…

Continue Reading....

Raia wa Tanzania Walalamikia Pasi za EU

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Raia wa Tanzania Walalamikia Pasi za EU

IMEBAINIKA kuwa balozi za nchi za Ulaya zilizopo nchini Tanzania, zikiwemo balozi za Ujerumani, Ubelgiji, Netherland na nyinginezo zimekuwa zikiweka vikwazo kwa baadhi ya raia…

Continue Reading....

Rais Kikwete, Rais Rajoelina Wazungumza kwa Kina Mgogoro wa Madagascar

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Rais Kikwete, Rais Rajoelina Wazungumza kwa Kina Mgogoro wa Madagascar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar, Andry Rajoelina Julai 22, 2013 wamekutana kwa…

Continue Reading....

SADC Yatarajia Uchaguzi Huru na Haki Zimbabwe

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
SADC Yatarajia Uchaguzi Huru na Haki Zimbabwe

KAMATI ya Siasa Ulinzi na Usalama ya nchi zinazounda Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) imesema ina imani kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni…

Continue Reading....

Bulembo Awataka Viongozi wa CCM Rombo Kushirikiana

Posted on: July 23, 2013 - jomushi
Bulembo Awataka Viongozi wa CCM Rombo Kushirikiana

Yohane Gervas, Rombo MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM), Abdalah Bulembo amewataka viongozi wa chama hicho kufanya kazi kwa kushirikiana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari