Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 258

Category: featured

Mwanafunzi Chuo Kikuu Arusha Aunda Ndege

Posted on: July 30, 2013 - jomushi
Mwanafunzi Chuo Kikuu Arusha Aunda Ndege

KIJANA wa Kitanzania ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Arusha aitwaye Denis, amefanikiwa kuunda ndege ya abiria. Kijana huyo alianza kuiunda ndege hiyo…

Continue Reading....

Hakimu Aachiwa Huru Mashitaka ya Rushwa

Posted on: July 30, 2013 - jomushi
Hakimu Aachiwa Huru Mashitaka ya Rushwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala baada ya kumuona hana kesi ya kujibu katika…

Continue Reading....

Diwani wa Chadema Aomba Kura kwa Kuinadi CCM

Posted on: July 30, 2013 - jomushi
Diwani wa Chadema Aomba Kura kwa Kuinadi CCM

DIWANI mmoja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyekuwa anagombea umakamu mwenyekiti wa halmashauri ya Geita, aliomba kura kwa kunadi sera za Chama cha…

Continue Reading....

Ufadhili Kampeni za Uchaguzi Zakuza Rushwa EAC

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Ufadhili Kampeni za Uchaguzi Zakuza Rushwa EAC

Na Anne Kiruku, EANA, Arusha KUKOSEKANA kwa utashi wa kisiasa kwenye vita dhidi ya rushwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kunatokana na jinsi kampeni za…

Continue Reading....

Jerry Silaa Akabidhi Spika na Vipaza Sauti Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Jerry Silaa Akabidhi Spika na Vipaza Sauti Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na uongozi wa Al Madrassatul Munauwaratul Islamiya iliyopo Msasani Bonde la Mpunga Ofisini kwake leo jijini…

Continue Reading....

Waziri Mkuu wa Thailand Kutembelea Tanzania Kesho

Posted on: July 29, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu wa Thailand Kutembelea Tanzania Kesho

WAZIRI Mkuu wa Thailand anatarajia kuwasili nchini Tanzania kesho kwa ajili ya ziara ya kikazi. Waziri huyo atawasili nchini Julai 30, 2013 majira ya saa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari