Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 234

Category: featured

Waziri Mkuu Pinda Atamani Mkoa wa Tabora Kuwa Mfano Kiuzalishaji

Posted on: September 1, 2013September 1, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Atamani Mkoa wa Tabora Kuwa Mfano Kiuzalishaji

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema angependa kuona Mkoa wa Tabora unakuwa mkoa wa mfano katika kushirikisha vijana kwenye kazi za uzalishaji mali. Alitoa…

Continue Reading....

Bastola Nje Nje, Zauzwa Mitaani Nchini Tanzania

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Bastola Nje Nje, Zauzwa Mitaani Nchini Tanzania

KUKITHIRI kwa rushwa miongoni mwa baadhi ya maofisa wa Jeshi la Polisi nchini, kumesababisha silaha ndogondogo hususan bastola kumilikiwa na watu wasio na sifa nchini.…

Continue Reading....

Rais Obama Aomba Bunge Kuidhinisha Vita, Mandela Atoka Hospitali Akiwa Mahututi

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Rais Obama Aomba Bunge Kuidhinisha Vita, Mandela Atoka Hospitali Akiwa Mahututi

HAIKUSADIKIKA kuwa Marekani itachukua hatua za haraka za kijeshi dhidi ya Syria, baada ya Rais Barack Obama wa nchi hiyo kuliomba bunge lake kuidhinisha shambulio.…

Continue Reading....

Serikali Kutenga Bilioni 30 kwa Miradi ya Vijana

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Serikali Kutenga Bilioni 30 kwa Miradi ya Vijana

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imelenga kupata sh. bilioni 30/- ili zitumike kuendeleza miradi ya vijana kwa nchi nzima kwa shughuli za uzalishaji.…

Continue Reading....

Shule Yazuia Wanafunzi Wake Kufanya Mitihani Kwa Kutolipa Michango

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Shule Yazuia Wanafunzi Wake Kufanya Mitihani Kwa Kutolipa Michango

Shinyanga, Tanzania  KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida robo tatu ya wanafunzi katika shule ya sekondari Uhuru iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga wamezuiwa kufanya mitihani ya…

Continue Reading....

Kikwete at the High-level Retreat on New Ideas For a Fair Globalisation in Alpbach, Austria

Posted on: September 1, 2013 - jomushi
Kikwete at the High-level Retreat on New Ideas For a Fair Globalisation in Alpbach, Austria

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari