Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 227

Category: featured

Alex Massawe Apandishwa Kizimbani Dubai

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Alex Massawe Apandishwa Kizimbani Dubai

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Polisi…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Ataka China Ijenge Viwanda Nchini Tanzania

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Waziri Mkuu Ataka China Ijenge Viwanda Nchini Tanzania

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema uwiano wa kibiashara baina ya Tanzania na China hauko sawa kwa sababu Tanzania inauza nchini China bidhaa ambazo hazijasindikwa lakini…

Continue Reading....

Abdulrahman Kinana Awapasha Wawekezaji, Diwani TLP Amfagilia

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Abdulrahman Kinana Awapasha Wawekezaji, Diwani TLP Amfagilia

  *Awataka kutoa michango ya maendeleo jamii inayowazunguka   KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wawekezaji nchi kujenga tabia ya kutoa…

Continue Reading....

Nape Arusha ‘Dongo’ CHADEMA, Awatuumu Kutumiwa na Wafadhili

Posted on: September 11, 2013September 11, 2013 - jomushi
Nape Arusha ‘Dongo’ CHADEMA, Awatuumu Kutumiwa na Wafadhili

Na Mwandishi Wetu, Kahama KATIBU wa NEC ya CCM itikadi na Uenezi amesema kinachowasumbua Chadema mpaka wanafanya yote waliyoyafanya hasa ngumi na vurugu bungeni ni…

Continue Reading....

Kinana na Timu ya CCM Awasili Mjini Isaka Wilayani Kahama

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Kinana na Timu ya CCM Awasili Mjini Isaka Wilayani Kahama

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo asubuhi…

Continue Reading....

Wakazi wa Iringa Waachana na Baridi Kushuhudia Serengeti Fiesta

Posted on: September 11, 2013 - jomushi
Wakazi wa Iringa Waachana na Baridi Kushuhudia Serengeti Fiesta

MKOA wa Iringa unafahamika sana kwa miji yenye baridi kali kama vile Makambako, Ilolo na Mafinga siku ya jumapili maelfu ya wapenda burudani kutoka vitongoji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari