Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 22

Category: featured

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa…

Continue Reading....

Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Viongozi wa Dini
Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na…

Continue Reading....

​​​​SHUGA Kupunguza Maambukizi ya VVU Sengerema

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
​​​​SHUGA Kupunguza Maambukizi ya VVU Sengerema

Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni…

Continue Reading....

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…

Continue Reading....

Vodacom Yakutanisha Wateja Katika Punguzo Kubwa la Bei za Simu

Posted on: June 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Vodacom Yakutanisha Wateja Katika Punguzo la bei
Vodacom Yakutanisha Wateja Katika Punguzo Kubwa la Bei za Simu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MTANDAO wa Simu za mkononi wa Vodacom Tanzania unakutanisha wateja wake wa simu katika punguzo kubwa la simu za…

Continue Reading....

TAMWA Kutoa Elimu kwa Jamii Kupambana na Ulevi Kupindukia

Posted on: June 28, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, TAMWA kupambana na Ulevi Kupindukia
TAMWA Kutoa Elimu kwa Jamii Kupambana na Ulevi Kupindukia

KITUO cha Usuluhishi (CRC) kinachofanya kazi chini ya Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) kimejipanga kutoa elimu kwa jamii kuhakikisha kinapambana na matumizi ya pombe kupindukia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari