Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 211

Category: featured

Serikali Yayafungia Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa ‘Uchochezi’

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Serikali Yayafungia Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa ‘Uchochezi’

SERIKALI imetangaza kuyafungia kutochapishwa Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kuanzia Septemba 27 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kudaiwa kuandika habari na makala za uchochezi…

Continue Reading....

Opportunity Education Kutoa Laptop kwa Wanafunzi 2014

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Opportunity Education Kutoa Laptop kwa Wanafunzi 2014

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lincoln TAASISI ya fursa ya Elimu (Opportunity Education) ya nchini Marekani imeazimia kuanzisha mradi wa laptop ndogo (tablets computer) kuanzia mwezi…

Continue Reading....

Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa, Viongozi Zungumzeni

Posted on: September 29, 2013 - jomushi
Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa, Viongozi Zungumzeni

Na Zitto Kabwe KWA takribani wiki tatu sasa kumekuwa na sintofahamu kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa na Bunge ili kufanya marekebisho ya sheria ya marekebisho…

Continue Reading....

Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jambo ‘Festival’ Laja…!

Posted on: September 28, 2013 - jomushi
Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jambo ‘Festival’ Laja…!

ZAIDI ya  washiriki 100 kutoka ndani na nje ya nchi watashiriki kwenye tamasha la Sanaa na utamaduni la Jambo Festival litakalofanyika Oktoba 23 hadi 27 mwaka huu…

Continue Reading....

TAMWA Yataja Mambo ya Msingi ya Kuzingatiwa Katiba Mpya

Posted on: September 28, 2013 - jomushi
TAMWA Yataja Mambo ya Msingi ya Kuzingatiwa Katiba Mpya

Na Joachim Mushi CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja mambo ya msingi ya kuzingatiwa katika mchakato wa Katiba Mpya ili ujio wa katiba hiyo…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akihutubia Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa

Posted on: September 28, 2013September 28, 2013 - admin
Rais Kikwete Akihutubia Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa

http://webtv.un.org/search/tanzania-general-debate-68th-session/2700704948001?term=kikwete STATEMENT BY HIS EXCELLENCY JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AT THE GENERAL DEBATE OF THE 68TH SESSION OF THE…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari