Kikao cha Wajumbe wa Jukwaa la Wahariri kilichofanyika leo, Alhamisi, Oktoba 3, mwaka 2013, kimejadili uamuzi wa serikali kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania. Wajumbe…
Continue Reading....Category: featured
Wanakijiji Twabagondozi Wamuomba Pinda Mil. 660 za Mradi
WAKAZI wa Kijiji cha Twabagondozi wilayani Kibondo, Kigoma wamemuomba Waziri Mkuu Mizengo Pinda awasadie kuharakisha upatikanaji wa zaidi ya sh. milioni 660 ili waweze…
Continue Reading....Mahafali ya 10 ya Shule ya Msingi Maktaba ya Jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa darasa la Saba wa Shule ya Msingi Maktaba wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wa mahafali yao ya 10 na viongozi…
Continue Reading....Harusi ya Mdau Vicent Mnyanyika na Bi. Tatu Abdi
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani” Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha…
Continue Reading....Wazamiaji 130 Wafa Majini Wakielekea Ulaya
MAOFISA katika Kisiwa cha Sicily cha Bahari ya Meditarenia wamesema wamepata maiti 130 baada ya mashua iliyokuwa imewabeba wahamiaji 500 wa Kiafrika kushika moto na…
Continue Reading....Rais azindua Gati ya Kisasa na Uwanja wa Ndege Mafia
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Oktoba 3, 2013 amezindua miradi miwili mikubwa ya maendeleo Kisiwani Mafia ambayo inamaliza kero za…
Continue Reading....