Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 196

Category: featured

Baraza la Eid-El-Hajj Ukumbi wa SUZA na Swala ya Siku Kuu Hiyo Zanzibar

Posted on: October 16, 2013 - jomushi
Baraza la Eid-El-Hajj Ukumbi wa SUZA na Swala ya Siku Kuu Hiyo Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu wengine katika Swala ya Idd el…

Continue Reading....

A Special Day of Fasting and Prayer for Kenya…!

Posted on: October 16, 2013 - jomushi
A Special Day of Fasting and Prayer for Kenya…!

Leeds Central Seventh-day Adventist church at 169 Meanwood Road, Leeds LS7 1JW is organising a special day of fasting and prayer for Kenya and for…

Continue Reading....

CCM Yajitetea Ukaguzi Mahesabu Vyama vya Siasa

Posted on: October 16, 2013 - jomushi
CCM Yajitetea Ukaguzi Mahesabu Vyama vya Siasa

Na Mwandishi Wetu SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto…

Continue Reading....

Mkuu wa Wilaya Rombo Awataka Wadau Kuinua Elimu

Posted on: October 16, 2013 - jomushi
Mkuu wa Wilaya Rombo Awataka Wadau Kuinua Elimu

Yohane Gervas Rombo MKUU wa Wilaya ya Rombo, Elinasi Palangyo, amewataka wazazi na wadau wengine wa elimu wilayani hapa kuchangia jitihada zao ili kuinua na…

Continue Reading....

Dk Mohammed Bilal Ashiriki Swala ya Idd El Hajj Msikiti wa Anwaar Dar

Posted on: October 16, 2013 - jomushi
Dk Mohammed Bilal Ashiriki Swala ya Idd El Hajj Msikiti wa Anwaar Dar

 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki nao katika…

Continue Reading....

JK Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Siasa

Posted on: October 15, 2013 - jomushi
JK Akutana na Viongozi wa Vyama Vya Siasa

MKUTANO kati ya Rais Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, Jumanne, Oktoba 15, 2013 kwa pande…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari