MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, Julai 06, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa…
Continue Reading....Category: featured
Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya
Bomu Lalipuka Tena Mgahawani Arusha, Lajeruhi Vibaya TAARIFA zinasema bomu limerushwa ndani ya Mgahawa ujulikanao kama ‘Traditional Indian Cusine’ uliopo karibu na Hotel ya Gymkana…
Continue Reading....DCB Bank Watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba
DCB Commercial Bank imeendelea kuzitambulisha huduma zake mpya ikiwemo ya DCB Jirani ambayo inamuwezesha mteja wa banki hiyo kupata huduma za kibenki mahali popote kwa…
Continue Reading....JK Ataka Ushindani Bidhaa za Tanzania
Na Magreth Kinabo – MAELEZO RAIS Jakaya Kikwete amewataka wafanyabiashara nchini kuongeza juhudi za kuboresha ubora wa bidhaa zao ili ziweze kushindana na zile za nje ya nchi. Rais…
Continue Reading....Brazil, Ujerumani Zaingia Nusu Fainali Kombe la Dunia
TIMU ya Taifa ya Brazil imefanikiwa kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuibugiza Timu ya Taifa ya Colombia mabao 2-1 katika mchezo…
Continue Reading....Malkia Nomsa Matsebula Aisaidia Sekondari ya Nakayama Mil 5
Na Anna Nkinda- Maelezo MKE wa Mfalme wa Swaziland Malkia Nomsa Matsebula ameipatia shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya…
Continue Reading....