Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 165

Category: featured

Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii, imevikataa viwango vipya vya alama za ufaulu kwa elimu ya sekondari vilivyotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu na kutaka…

Continue Reading....

Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Ukimwi ILO Getrude Sima (kushoto) akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Kaimu Afisa Tarafa ya Chalinze kata ya Pera Bw.…

Continue Reading....

Rais Kikwete ‘Awazungumzia’ Viongozi Wenzake Sri Lanka

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Rais Kikwete ‘Awazungumzia’ Viongozi Wenzake Sri Lanka

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa maoni ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kuhusu ajenda ya maendeleo baada…

Continue Reading....

Watoto Wenye Mahitaji Maalum Wanahitaji Ulinzi na Mapenzi…!

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Watoto Wenye Mahitaji Maalum Wanahitaji Ulinzi na Mapenzi…!

Na Anna Nkinda – Colombo, Sri Lanka WATOTO wenye mahitaji maalum wanahitaji kupata ulinzi na mapenzi ya mara kwa mara kutoka kwa walezi na jamii…

Continue Reading....

Waziri Pinda Azitaka Halmashauri Nchini Kujenga Maktaba za Wilaya

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Waziri Pinda Azitaka Halmashauri Nchini Kujenga Maktaba za Wilaya

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema kila Halmashauri hapa nchini inapaswa kuweka kwenye mpango wake wa maendeleo kifungu cha ujenzi wa maktaba ya wilaya ili watu…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azungumza na Waziri wa Maendeleo ya Minazi Sri Lanka, Akabidhiwa Ripoti ya Ugonjwa wa Minanzi Tanzania

Posted on: November 17, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza na Waziri wa Maendeleo ya Minazi Sri Lanka, Akabidhiwa Ripoti ya Ugonjwa wa Minanzi Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali imedhamiria kukabiliana na maradhi ya mazao likiwamo zao la mnazi ambalo linakabiliwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari