RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Warsaw, Poland, asubuhi ya Novemba 19, 2013, kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko…
Continue Reading....Category: featured
Makamu wa Rais Dk Bilal Aiwakilisha Tanzania Mkutano wa Kuwait
MAKAMU wa Rais wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal ameiwakilisha Tanzania katika mkutano wa mashirikiano baina ya nchi za Afrika na…
Continue Reading....Ujasiriamali Kufundishwa Kuanzia Mashuleni
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI) Bi Christine Kilindu (Mwisho Kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya viwanda nchini na mchango…
Continue Reading....Mbunge wa Peramiho Ampokea Katibu Mkuu wa CCM…!
Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akisalimiana na Mh. Jenista Mhagama Mbunge wa jimbo la Peramiho mara baada ya kupokelewa katika…
Continue Reading....Kero ya Maji Rombo: Wananchi Wageuka Mafundi Wajiunganishia Maji
Na Yohane Gervas, Rombo TATIZO la ukosefu wa maji katika Kijiji cha Alen chini limechukua sura mpya baada ya wananchi kuamua kufukua mabomba ya maji…
Continue Reading....Katibu Mkuu wa CCM Akihutubia Wananchi Sokoni Bombambili Songea
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea leo kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili leo. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa…
Continue Reading....