Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 133

Category: featured

Heri ya Mwaka Mpya 2014 Kutoka Blog Lukaza

Posted on: January 1, 2014 - jomushi
Heri ya Mwaka Mpya 2014 Kutoka Blog Lukaza

Kwanza kabisa Napenda kuchukua nafasi hii Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema Kwa Kuweza Kunijalia Uwezo, Nguvu na Afya na Bahati Pia ya Kuweza…

Continue Reading....

Waziri wa Fedha Afariki Dunia

Posted on: January 1, 2014 - jomushi
Waziri wa Fedha Afariki Dunia

WAZIRI wa Fedha nchini Tanzania, Dk. William Mgimwa amefariki dunia nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata na kuthibitishwa na Katibu…

Continue Reading....

Tunaumaliza Mwaka 2013 Nchi Ikiwa Salama; JK

Posted on: January 1, 2014 - jomushi
Tunaumaliza Mwaka 2013 Nchi Ikiwa Salama; JK

RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewapongeza wa Tanzania kwa ujumla pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuhakikisha nchi imemaliza mwaka 2013 ikiwa na…

Continue Reading....

IGP Mpya Tanzania Aapishwa na Rais Kikwete

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
IGP Mpya Tanzania Aapishwa na Rais Kikwete

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Naibu  Inspekta Generali wa Polisi (IGP) mpya Afande Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya…

Continue Reading....

Kijana Apanda Kwenye Mnara wa Simu Kushinikiza Kuonana na JK

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
Kijana Apanda Kwenye Mnara wa Simu Kushinikiza Kuonana na JK

 Askari wa Kikosi cha Zima moto na Uokoaji Wakiwa wamepanda juu ya Mnara wa Simu Uliopo Ubungo Jijini Dar Es Salaam Muda mfupi uliopita kwaajili…

Continue Reading....

Samsung Tanzania Yapata Ongezeko la Wateja Kusajili Bidhaa kwa Zaidi ya 30%

Posted on: December 31, 2013 - jomushi
Samsung Tanzania Yapata Ongezeko la Wateja Kusajili Bidhaa kwa Zaidi ya 30%

KAMPUNI ya Samsung Tanzania imeelezea ongezeko la wateja kujisajili katika mfumo wa dhamana ya ziada kwa zaidi ya asilimia 30 ikiwa ni ongezeko kubwa kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari