Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 124

Category: featured

Pinda Akagua Athari za Mafuriko Mpwapwa

Posted on: January 17, 2014 - jomushi
Pinda Akagua Athari za Mafuriko Mpwapwa

*Aitaka TANROADS kupitia upya maeneo korofi WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametembelea vijiji vya Chipogoro na Fufu katika wilaya za Mpwapwa na Chamwino, mkoani Dodoma na…

Continue Reading....

Makundi ya Urais Yaivuruga CCM

Posted on: January 17, 2014 - jomushi
Makundi ya Urais Yaivuruga CCM

MAKUNDI ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti…

Continue Reading....

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Mahanga Ashtakiwa kwa Kuvunja Sheria za Kazi

Posted on: January 17, 2014January 17, 2014 - jomushi
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Mahanga Ashtakiwa kwa Kuvunja Sheria za Kazi

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga ameingia kwenye kashfa nzito ya kuvunja sheria za kazi nchini…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Awataka Wananchi Kiteto Kutii Amri ya Mahakama

Posted on: January 16, 2014 - jomushi
Waziri Mkuu Pinda Awataka Wananchi Kiteto Kutii Amri ya Mahakama

*Amtaka RC, DC na Halmashauri kupitia upya ramani ya hifadhi WAZIRI Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda amewataka wakazi wa wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wanaolima…

Continue Reading....

Dk Mukangara Amteuwa Chana Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Filamu

Posted on: January 16, 2014 - jomushi
Dk Mukangara Amteuwa Chana Kuwa Mwenyekiti Bodi ya Filamu

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara amemteua Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi…

Continue Reading....

Special Fare Offer From Emirates…!

Posted on: January 16, 2014 - jomushi
Special Fare Offer From Emirates…!

*The offers applies to round-trip travel to select destinations out of Dar es Salaam EMIRATES, a global connector of people and places, is offering Tanzanian…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari