NI kutambua mchango mkubwa, hii ni zawadi inayowafaa vinara! Tuzo ya ufanisi bora kabisa katika afya ya akinamama na watoto wachanga: Tuzo ya Mama Afrika…
Continue Reading....Category: featured
JK Atuma Rambirambi Msiba wa Ramadhan Bwanamdogo, MB
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Semamba…
Continue Reading....Rasimu ya Katiba Kuchapishwa Kwenye Gazeti la Serikali Januari 24, 2014
Na Mwandishi Wetu KIFUNGU 20 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83, Toleo la 2013 inamtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Continue Reading....Mambo ya Ndani Wakusanya Bilioni 83.4
Na Frank Mvungi- MAELEZO WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanikiwa kukusanya sh. bilioni 83.4 kufikia mwaka 2013/2014 ambazo zinatokana na shughuli mbalimbali zilizofanywa…
Continue Reading....Mke wa Rais Afungua Mkutano wa Wadau wa Kupambana na Ukimwi
Na Magreth Kinabo – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka Watanzania kuongeza juhudi za kuzuia maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa…
Continue Reading....