Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 109

Category: featured

Dk. Mukangara Afunguwa Kongamano la Utangazaji wa Kidijitali Afrika 2014

Posted on: February 11, 2014February 11, 2014 - jomushi
Dk. Mukangara Afunguwa Kongamano la Utangazaji wa Kidijitali Afrika 2014

   Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akifuatilia hotuba mbalimbali katika ufunguzi wa Kongamano la 9 la uhamaji wa mfumo wa…

Continue Reading....

Tahadhari Kutoka Hali ya Hewa: Mvua Kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa Pwani

Posted on: February 11, 2014April 12, 2014 - jomushi
Post Tags: Enter your zip code here
Tahadhari Kutoka Hali ya Hewa: Mvua Kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa Pwani

TAHADHARI imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) ya kuwepo kwa Vipindi vya Mvua kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa yatakayojitokeza ukanda wa…

Continue Reading....

Serikali Rombo Kuwaadhibu Watendaji Wanaohujumu Mazingira

Posted on: February 11, 2014 - jomushi
Serikali Rombo Kuwaadhibu Watendaji Wanaohujumu Mazingira

Na Yohane Gervas, Rombo MKUU wa Wilaya ya Rombo, Elinas Palengyo amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali watendaji wote wa kijiji watakao thibitika kuwa wanakwamisha…

Continue Reading....

Maria: Mume Aliyenikatisha Darasa la Sita, Kanitelekeza na Watoto Wanne

Posted on: February 10, 2014 - jomushi
Maria: Mume Aliyenikatisha Darasa la Sita, Kanitelekeza na Watoto Wanne

Na Joachim Mushi, Aliyerejea Nkasi MATUKIO ya utelekezaji wa mke na watoto nchini Tanzania bado ni changamoto kubwa katika jamii. Licha ya matukio haya kutofautiana…

Continue Reading....

Rays of Light Exhibition Imprints its Foot on the Land of the Kilimanjaro

Posted on: February 10, 2014 - jomushi
Rays of Light Exhibition Imprints its Foot on the Land of the Kilimanjaro

AFTER visiting France, Portugal, United States, United Kingdom, UAE, Uganda, and Canada, the Rays of Light: Glimpses into the IsmailiImamat, finally makes its hallmark debut…

Continue Reading....

Majina ya Waliochaguliwa Mama Shujaa wa Chakula / Maisha Plus 2014 Yatajwa

Posted on: February 10, 2014 - jomushi
Majina ya Waliochaguliwa Mama Shujaa wa Chakula / Maisha Plus 2014 Yatajwa

    Baadhi ya Waandishi wa Habari na wadau Mbalimbali wakiwa wanasikiliza kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa katika Shindano la Maisha Plus/ Mama Shujaa wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari