Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • featured
  • Page 102

Category: featured

Amir Pandu Kificho Achaguliwa Mwenyekiti wa Muda Bunge la Katiba

Posted on: February 18, 2014February 18, 2014 - jomushi
Amir Pandu Kificho Achaguliwa Mwenyekiti wa Muda Bunge la Katiba

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Amir Pandu Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba…

Continue Reading....

Bunge Maalumu la Katiba Mpya Kuanza Leo Dodoma…!

Posted on: February 18, 2014 - jomushi
Bunge Maalumu la Katiba Mpya Kuanza Leo Dodoma…!

Na Mwandishi Wetu, MBUNGE maalumu la Katiba linaanza leo mjini Dodoma ikiwa ni safari mpya ya taifa kuelekea kupata Katiba Mpya itakayo ridhiwa na Watanzania…

Continue Reading....

Bunge Letu la Katiba Haya Wayazingatie…!

Posted on: February 18, 2014 - jomushi
Bunge Letu la Katiba Haya Wayazingatie…!

Bunge Letu la Katiba Haya Wayazingatie…! 1. Edita nipe nafasi nakuomba kwa hekima Niseme bila wasiwasi yalo katika mtima Moyoni yanayonighasi kichwani nikiyapima Sauti yangu…

Continue Reading....

APRM Yawataka Wajumbe Bunge la Katiba Kutanguliza Maslahi ya Taifa

Posted on: February 17, 2014 - jomushi
APRM Yawataka Wajumbe Bunge la Katiba Kutanguliza Maslahi ya Taifa

MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) tawi la Tanzania unatoa wito kwa wabunge wa Bunge Maalum la Katiba linaloanza Jumanne wiki hii mjini Dodoma…

Continue Reading....

Waratibu NHIF, CHF Singida Wahimizwa Kukabiliana na Madai Feki

Posted on: February 17, 2014 - jomushi
Waratibu NHIF, CHF Singida Wahimizwa Kukabiliana na Madai Feki

Na Nathaniel Limu, Singida WARATIBU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) mkoani Singida, wamehimizwa kuwa…

Continue Reading....

Mbunge CCM Ataja Siri Mpya ya Wauzaji Dawa za Kulevya

Posted on: February 16, 2014 - jomushi
Mbunge CCM Ataja Siri Mpya ya Wauzaji Dawa za Kulevya

Na Emmanuel Shilatu MBUNGE wa Kigamboni, Faustine Ndungulile ameanika siri na aina mpya ya wauzaji wa dawa za kulevya wanayoitumia katika kupanua wigo wa watumiaji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari