Bondia Williams wa Marekani Awasili Kumvaa Cheka Posted on: August 29, 2013August 29, 2013 - jomushi Bondia Phil Williams wa Marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa.Mdau wa michezo nchini Saidi Kindeka (kushoto) akiwa na Bondia Phil Williams wa Marekani mara baada ya kuwasili. Picha na Super D Blog.