



Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumzia mafanikio na changamoto za benki hiyo na namna ilivyokabiliana nazo hadi kufanya vizuri katika sekta hiyo. Benki ya Posta jana iliandaa chakula cha jioni na kujumuika na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi.




