Ligi kuu ya Hispania Inafikia tamati leo huku timu zikiwa zinakabana koo kueleke kubeba ndoo ya ligi hiyo tayari Barca imeshinda mchezo 3 – 0 dhidi ya Granada huku Suarezi Akipiga Hat trick katika mchezo huo
Barcelona Ndio Habari ya Mjini, Watwaa Kombe
