Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais, Ikulu Mjini Zanzibar . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania,Kim Young Hoon,alipofika kumuaga Rais Ikulu Zanzibar [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]