
unaofadhiliwa na Serikali ya Finland kupitia wizara ya mambo ya nje chini ya shirika la UKUMBI

| Watoa ushauri wa shirika linalotoa msaada wa kisheria na elimu ya haki za binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO) wakiimba wakati wa ufunguzi wa kituo hicho. |
| Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya KWIECO, Clement Kwayu akitoa neno la ukaribisho kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi Loe Rose Mbise wakai wa sherehe ya uzinduzi wa kituo hicho. |
| Katibu tawala wa mkoa a Kilimanjaro, Martha Ufunguo akitoa salama za mkoa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Leonidas Gama wakati wa uzinduzi wa kituo hicho. |
| Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa KWIECO,Jaji Aishiel Sumari akitoa neno la shukrani mara baada ya hotuba ya mgeni rasmi, Balozi wa Finland Tanzania, Antila Sinikka. |
| Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi, Hajira Mmambe akizungumza kwa niaba ya wadau wa Kwieco wakati wa sherehe hizo. |
| Balozi wa Finland Tanzania, Antila Sinikka akikata utepe kuashiria kuazna kutumika kwa majengo hayo. |
| Balozi wa Finland Tanzania, Antila Sinikka akifurahia jambo mara baada ya kufungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika kituo hicho. |
| Balozi wa Finland Tanzania Mh. Antila Sinikka akiwa katika picha ya pamoja na watoa ushauri. |
| Balozi wa Finland Tanzania, Antila Sinikka alikabidhi kitabu cha “Politics of Gender “kwa Mkurugenzi wa Kwieco, Elizabeth Minde. |
| Maeneo mbalimbali ya kituo hicho.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
