
![]() |
| Wanachama wapya wa LAPF wakielekezwa kujaza fomu ya kujiunga na mfuko huo mapema jana katika viwanja vya sabasaba. |
![]() |
| Mtumishi wa LAPF akimsajili mmoja wa wanachama wa LAPF alietembelea banda hilo. |
![]() |
| Wateja wakiwa wanasubiri kupata kadi zao za uanachama mara baada ya kujiunga na mfuko huo katika maonesho ya sabasaba. |
![]() |
| Maafisa wa LAPF wakitoa maelezo kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliofurika kwenye banda la LAPF na kujiunga na uanachama kwenye mfuko katika maonesho ya SabaSaba. |






