Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea kwa michezo miwili ya robo fainali kuchezwa. Wolfsburg wakiutumia vyema uwanja wao wa Volkswagen Arena, wamepata ushindi wa mabao…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Imetua Hadi kwa Viongozi wa TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na taarifa zilizosambaa katika mitandao kuanzia jana zikiwahusisha viongozi wa timu moja ya daraja la kwanza na…
Continue Reading....Mtaka Apata Shavu Shirikisho la Riadha la Dunia
Mchezo wa Riadha Duniani (IAAF) limemteua Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT) Anthony Mtaka kuwa miongoni mwa wajumbe wanaounda kundi la ushauri wa mikakati…
Continue Reading....Wababe Wa Yanga Kutoka Misri Watua Kimya Kimya
Wapinzani wa Timu ya Yanga Katika Ligi ya Mabingwa Afrika Timu ya Al Ahly ya Misri imewasili Tanzania alfajiri ya leo katika uwanja wa ndege…
Continue Reading....Bosi TFF Abwaga Manyanga
Kaimu Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Martin Chacha amejiuzulu nafasi yake katika utumishi wa TFF kuanzia jana tarehe 5…
Continue Reading....Kilichomkuta Gonzalo Higuain Balaa Tupu
Mshambuliaji wa klabu ya Napoli Gonzalo Higuain amefungiwa mechi 4 kwa kosa la kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Udinese uliofanyika jumamosi iliyopita. Mbali ya…
Continue Reading....