Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 92

Author: Yohana Chance

Rais Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali

Posted on: April 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk.Shein amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Wizara 13 za Serikali ya…

Continue Reading....

Hakuna wa Kumzuia Leicester City Kubeba Ndoo

Posted on: April 11, 2016 - Yohana Chance
Hakuna wa Kumzuia Leicester City Kubeba Ndoo

Ligi kuu ya soka ya Uingereza imeendelea tena jumapili kwa michezo mitatu ,Sunderland wakicheza nyumbani dhidi ya vinara wa ligi Leicester city, waliambulia kipigo cha…

Continue Reading....

Rais wa Zanzibar Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Rais wa Zanzibar Dkt.Shein ameunda Wizara 13 na kuwateua Mawaziri, Manaibu

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu 42, 43, 44 na 47 vya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…

Continue Reading....

Yanga Yatolewa Jasho na Al Ahly, Azam Kurudisha Heshima Kesho

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yatolewa Jasho na Al Ahly, Azam Kurudisha Heshima Kesho

Timu ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya…

Continue Reading....

Tanzia Yatanda Tasnia ya Muziki, Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Posted on: April 9, 2016 - Yohana Chance
Tanzia Yatanda Tasnia ya Muziki, Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Mwananamuziki maarufu wa dansi nchini, Ndanda Kosovo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa zinazotufikia, zinaeleza Ndanda amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa…

Continue Reading....

Msimamo, Matokeo Yote Ligi ya Uingereza, Arsenal Kuhusu Ubingwa Sahau

Posted on: April 9, 2016April 9, 2016 - Yohana Chance
Msimamo, Matokeo Yote Ligi ya Uingereza, Arsenal Kuhusu Ubingwa Sahau

Andy Caroll alifunga mabao matatu na kuiwezesha West Ham kuizuia Arsenal na hivyobasi kuvunja matumaini ya timu hiyo kushinda taji la ligi ya Uingereza. Arsenal…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari