Hatua ya Robo fainali ya mwisho ya michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania (Federation Cup) imepigwa jana kati ya Coastal Union dhidi ya Simba katika…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Mbivu na Mbichi Kujulikana Leo Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mechi za Marudiano za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili. Manchester City…
Continue Reading....Askari Polisi Watanda Ofisi za Soka la Nigeria
Maafisa wa polisi wamezingira afisi za shirikisho la Soaka la Nigeria NFF katika mji mkuu wa Abuja. Maafisa wa kupambana na ghasia wakiwa wamevalia magwanda…
Continue Reading....Droo ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Kufanyika Kesho
Droo ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), inatarajiwa kufanyika kesho Jumanne saa 3 usiku moja kwa moja (live) kupitia kituo…
Continue Reading....Azam Bwana! Eti Wanaenda Tunisia Kumaliza Kazi
Michuano ya kombe la shirikisho Afrika imeendelea tena jana Jumapili kwa michezo kadhaa ,Azam fc wakicheza nyumbani Azam complex jijini Dar es salaam walifanikiwa kuwachapa…
Continue Reading....Uhaba wa Chakula Waitesa Wilaya ya Simanjiro
Na; Ferdinand Shayo,Simanjiro. Kijiji cha Olbili kilichopo kitongoji cha Tilili,kata ya Shambarai wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara kinakabiliwa na tatizo la ukosefu chakula cha miongoni…
Continue Reading....