Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limewapongeza viongozi, mashabiki, wachezaji wa vilabu na timu za Taifa kwa kufanya vizuri katika michezo mbalimbali ya kimataifa…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Manchester City Waing’oa PSG, Ronaldo Apiga Hattrick UEFA
Timu ya soka ya Manchester city imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya Michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kuwafunga PSG…
Continue Reading....Soma Hapa Ratiba ya Kombe la Shirikisho
Droo ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imefanyika usiku wa jana huu moja kwa moja (live) kupitia kituo cha luninga…
Continue Reading....Rais Dkt Magufuli Apokea Taarifa ya Mwaka ya Utendaji ya TAKUKURU
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Mwaka ya utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa…
Continue Reading....Rais Kenyatta Aahidi Kutimiza Matakwa ya WADA
Kenya itatimiza muda wa mwisho wa mwezi Mei kufuata mfumo wa shirika linalopambana na matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu misuli, WADA na kuepuka vikwazo…
Continue Reading....Wasii wa Filamu Kuigiza Filamu Katika Hifadhi za Taifa
Wasanii wa Filamu nchini kote wametakiwa kutumia mandhari za asili zilizoko katika maeneo ya hifadhi za taifa kwenye shughuli zao za kurekodi filamu badala ya…
Continue Reading....