Timu ya Yanga imefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kuifunga mtibwa Sugar kwa goli 1-0 kwenye mchezo wa leo…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Rais waSoka Ujerumani Apewa Jukumu la Kurejesha Uaminifu
Reinhard Grindel amechaguliwa kuwa rais wa Shirikisho la Kandanda la Ujerumani – DFB, na kupewa jukumu la kurejesha uaminifu kufuatia kashfa iliyotokana na malipo ya…
Continue Reading....Kipute cha Ligi Kuu Bongo Kuendelea Tena Kesho
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo minne kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku kila timu ikisaka ushindi katika michezo…
Continue Reading....Rais wa TFF Jamal Malinzi Amwaga Pongezi kwa Ravia
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amempongeza Ravia Idarous Faina wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA)…
Continue Reading....Simba SC Kushiriki Kombe la Nile Basin
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Nile Basin Club Championship, inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya…
Continue Reading....Ratiba ya UEFA Yamkalia Vibaya Manchester City
Klabu ya Manchester City ya Uingereza imeepuka kukutana na meneja wake wa msimu ujao Pep Guardiola kwenye nusufainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Miamba…
Continue Reading....