klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika jitihada zake za kutetea…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Vardy Kitanzini Kwa Kumkaripia Mwamuzi
Mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu na chama cha soka cha nchini England FA. Vardy alifanya vitendo vya utovu…
Continue Reading....Spurs Yashinda Nne Mtungi, Leicester City Wahaha
Klabu ya soka ya Tottenham wakicheza ugenini katika dimba la Brittania wameibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya Stoke City. Mshambuliaji mahiri…
Continue Reading....Kichuya wa Mtibwa Awa Mchezaji Bora wa Mwezi
Mshambuliaji Shiza Ramadhan Kichuya wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu…
Continue Reading....Malinzi Atuma Salamu za Pongezi Ujerumani
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametumia salamu za pongezi, Reinhard Grindel kwa kuchaguliwa rais mpya wa Shirikisho la Mpira…
Continue Reading....Mashabiki Wasimba Wawekwa Kikaangoni
Shirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu kufanya vurugu mara baada ya mchezo kati ya…
Continue Reading....