Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 72

Author: Yohana Chance

UEFA ni Fainali ya Kisasi Ndani ya San Siro

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
UEFA ni Fainali ya Kisasi Ndani ya San Siro

Manchester City wameshindwa kufika katika fainali za kwanza za klabu bingwa barani Ulaya (UEFA) baada ya kutolewa na mabingwa mara 10 wa michuano hiyo Real…

Continue Reading....

Azam Yabanwa,Yanga Sasa Ishindwe Yenyewe Kubeba Ndoo

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Azam Yabanwa,Yanga Sasa Ishindwe Yenyewe Kubeba Ndoo

Baada ya Azam FC imepoteza matumaini ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na JKT…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Amkumbuka Asha-Rose Migiro

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Amkumbuka Asha-Rose Migiro

Continue Reading....

Serikali Yamfungia Snura na Chura wake

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Serikali Yamfungia Snura na Chura wake

Serikali kupitia Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imesitisha kuchezwa kwa wimbo na video ya Chura ya msanii Snura Mushi kwenye vyombo vyote vya…

Continue Reading....

Simba Mkosi Juu ya Balaa, Michuano ya Basin Imepigwa Chini

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Simba Mkosi Juu ya Balaa, Michuano ya Basin Imepigwa Chini

Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeahirisha michuano ya kuwania Kombe la nchi unakopita Mto Nile ‘Nile Basin Cup’. Taarifa iliyotumwa Shirikisho la…

Continue Reading....

Uchaguzi wa Yanga Kufanyika Juni 25

Posted on: May 4, 2016 - Yohana Chance
Uchaguzi wa Yanga Kufanyika Juni 25

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga kuwa utafanyika Juni 25, 2016 badala ya Juni 5,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari