Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 71

Author: Yohana Chance

Liverpool Yatinga Fainali ya EUROPA Kibabe

Posted on: May 6, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yatinga Fainali ya EUROPA Kibabe

Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya EUROPA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Wakiwa…

Continue Reading....

Waamuzi Mechi ya Yanga dhidi ya Esperanca Hadharani

Posted on: May 5, 2016May 5, 2016 - Yohana Chance
Waamuzi Mechi ya Yanga dhidi ya Esperanca Hadharani

Mwamuzi Joseph Odartei Lamptey, Jumamosi Mei 7, 2016 anatarajiwa kuwa mwamzi wa kati katika mchezo wa kimataifa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaozikutanisha timu…

Continue Reading....

Erasto Nyoni Aighalimu Timu ya Azam

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
Erasto Nyoni Aighalimu Timu ya Azam

Timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, imenyang’anywa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu uliyoupata katika mechi Na. 156 ya Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Marekebisho ya Kanuni za Ligi Kuu 2016/2017

Posted on: May 5, 2016May 5, 2016 - Yohana Chance
Marekebisho ya Kanuni za Ligi Kuu 2016/2017

Bodi ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka (TFF) imezipongeza timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushiriki na kufanya msimu wa Ligi Kuu Bara…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Amuapisha Dk Rose Migiro Kuwa Barozi

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Amuapisha Dk Rose Migiro Kuwa Barozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemuapisha Dk. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Hafla ya kuapishwa…

Continue Reading....

Fujo za Tottenham, Chealsea Zakumbana na Mkono wa Sheria

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
Fujo za Tottenham, Chealsea Zakumbana na Mkono wa Sheria

Chelsea na Tottenham wamepigwa faini kwa pamoja na shirikisho la soka nchini Uingereza FA kwa kukabiliwa na makosa matatu ya kushindwa kuwazuia wachezaji pamoja na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari