BONDIA Christopher Fabian Mashale maarufu ‘Francis Mashali’ amefariki dunia baada ya kupigwa na watu ambao bado hawajajulikana usiku wa kuamkia leo. Taarifa zinasema kwamba mwili…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Rais Magufuli Aelekea Kenya Ziara ya Siku Mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ameondoka nchini kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali…
Continue Reading....Dodoma Kushuhudia Ligi ya Wanawake
Uzinduzi wa Ligi ya Taifa ya Wanawake unatarajiwa kufanyika Novemba 1, 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma katika mchezo ambao Baobao itacheza na Victoria…
Continue Reading....Mourinho, Moyes Wapigwa Rungu na FA
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameshtakiwa na shirikisho la soka nchini Uingereza FA kwa kudai kwamba itakuwa vigumu kwa refa Anthony Taylor kusimamia mechi…
Continue Reading....Zali la Farid Mussa Latiki Huko Deportivo
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuwataarifa wapenzi wa soka kuwa winga wao Farid Mussa, jana amepata kibali rasmi…
Continue Reading....Manchester United Waisambaratisha City
Manchester United walifika hatua ya robo fainali katika Kombe la EFL baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Manchester City kwenye debi iliyochezewa uwanja wa Old Trafford.…
Continue Reading....