Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 68

Author: Yohana Chance

Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Vs Yanga Yaendelea Kukamilika

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Vs Yanga Yaendelea Kukamilika

Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) sasa zitafanyika Juni 11, 2016. Mchezo huo wa…

Continue Reading....

Waziri Nape Aweka Baraka Zake Kwa Serengeti Boys

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Waziri Nape Aweka Baraka Zake Kwa Serengeti Boys

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi amewataka wachezaji wa timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka…

Continue Reading....

Platini Yamemfika Pabaya, Sasa Kuachia Ngazi

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Platini Yamemfika Pabaya, Sasa Kuachia Ngazi

Michel Platini atajiuzulu kuwa rais wa shirikisho la kandanda barani Ulaya – UEFA baada ya mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya michezo kukubali aendelee na…

Continue Reading....

Meneja wa Liverpool Ajuta Kuwaalika Mashabiki Kwenda Basel

Posted on: May 10, 2016 - Yohana Chance
Meneja wa Liverpool Ajuta Kuwaalika Mashabiki Kwenda Basel

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema anajutia kuwaambia mashabiki wa klabu hiyo, hata wasio na tiketi, wajiandae kwenda Basel kutazama fainali ya Europa League. Liverpool…

Continue Reading....

Cameroon Yapata Pigo Jingine, Kulikoni?

Posted on: May 9, 2016 - Yohana Chance
Cameroon Yapata Pigo Jingine, Kulikoni?

Kipa wa timu ya taifa ya Cameroon upande wa wanawake ameaga dunia baada ya kuzirai wakati wa mazoezi, Shirikisho la soka la Cameroon limesema.Jeanine Christelle…

Continue Reading....

Rais DK Magufuli Afungua Rasmi Majengo ya Kitega Uchumi ya NSSF na PPF Arusha

Posted on: May 9, 2016May 9, 2016 - Yohana Chance
Rais DK Magufuli Afungua Rasmi Majengo ya Kitega Uchumi ya NSSF na PPF Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa PPF na NSSF pamoja na wananchi wa jiji la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari