Ligi kuu ya Hispania Inafikia tamati leo huku timu zikiwa zinakabana koo kueleke kubeba ndoo ya ligi hiyo tayari Barca imeshinda mchezo 3 – 0…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Yanga SC Kama Barca, Bayern Wapeleka Ndoo Jangwani
MABINGWA wapya wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga wamekabidhiwa kombe la ubingwa baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Ndanda ambao walitoka sare…
Continue Reading....Sherehe za Bayern Munich Babu Kubwaaaaaaaaaaa
Klabu ya Bayern Munich imekabidhiwa taji la oleo baada ya kuilaza Hannover 96 kwa jumla ya Bao 3 – 1 wakiwa nyumbani kwao
Continue Reading....Sasa FIFA Kuongozwa na Mwanamke
Kwa mara ya kwanza katika historia, mwanamke ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), shirikisho ambalo kwa kiwango kikubwa limetawaliwa na wanaume.…
Continue Reading....Waziri Nape Awakaribisha Bloggers Bungeni Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa tai) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa Blogs Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha…
Continue Reading....Nchemba Kuwapa Yanga Kesho Kombe Lao Taifa
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba Madelu kesho Jumamosi Mei 14, 201 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom…
Continue Reading....