Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 63

Author: Yohana Chance

Ligi Imeisha Lakini Faini Kama Kawa, Chelsea, Spurs Zapigwa Rungu

Posted on: May 17, 2016 - Yohana Chance
Ligi Imeisha Lakini Faini Kama Kawa, Chelsea, Spurs Zapigwa Rungu

Chelsea na Tottenham wamepigwa faini kutokana na mashtaka matatu ya kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao katika sare ya 2-2 katika uwanja wa Stamford Bridge. Chelsea watalazimika…

Continue Reading....

Serengeti Boys Yachinja Mtu India

Posted on: May 17, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yachinja Mtu India

Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 17, 2016 imechanua vema baada ya kuilaza…

Continue Reading....

Wakuu wa Majeshi ya Afrika Wakutana Arusha Kujadili Juu ya Tishio la Ugaidi

Posted on: May 16, 2016 - Yohana Chance
Wakuu wa Majeshi ya Afrika Wakutana Arusha Kujadili Juu ya Tishio la Ugaidi

Na; Ferdinand Shayo,Arusha. Majenerali na Wakuu wa Majeshi ya nchi kavu Barani Afrika wamekutana jijini Arusha kujadili changamoto zinazoyakibili majeshi hayo ikiwemo tishio la ugaidi…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Mkutano na Kukabidhi Hundi

Posted on: May 16, 2016 - Yohana Chance
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Afungua Mkutano na Kukabidhi Hundi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya…

Continue Reading....

Halmashauri ya Karatu Watumbuana Majipu

Posted on: May 16, 2016 - Yohana Chance
Halmashauri ya Karatu Watumbuana Majipu

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Karatu limewasimamisha kazi baadhi ya watumishi kutokana na ubadhilifu wa fedha za Umma. Mwenyekiti wa Baraza la madiwani wa…

Continue Reading....

Serengeti Boys Kushuka Dimbani kesho

Posted on: May 16, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Kushuka Dimbani kesho

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, Bakari Shime amesema hana wasiwasi kuwavaa India-wenyeji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari