Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 62

Author: Yohana Chance

Maandalizi Fainali Kombe la Shirikisho Sio Mchezo

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Maandalizi Fainali Kombe la Shirikisho Sio Mchezo

Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitakazokutanisha timu za soka ya Young Africans na Azam FC, Uwanja wa…

Continue Reading....

Azam Waachana na Stewart Hall

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Azam Waachana na Stewart Hall

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya pande…

Continue Reading....

Yanga Yachapwa Angola, Ila Wasonga Hatua ya Makundi

Posted on: May 18, 2016May 18, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yachapwa Angola, Ila Wasonga Hatua ya Makundi

Klabu ya Yanga imefanikiwa kufuzu kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa mara ya kwanza tangu walipofanikiwa kufanya hivyo kwa mara ya kwanza…

Continue Reading....

Mkwasa Ataja Majembe Yake Tayari Kuwavaa Wamisri

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Mkwasa Ataja Majembe Yake Tayari Kuwavaa Wamisri

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 27 watakaounda Taifa Stars ambacho kinajiandaa kucheza Misri Juni 4,…

Continue Reading....

TP Mazembe Wasonga Kwa Goli la Ugenini, Yanga Vipi Leo?

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
TP Mazembe Wasonga Kwa Goli la Ugenini, Yanga Vipi Leo?

TP Mazembe wameendelea mbele katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kupata goli la ugenini dhidi ya Stade Gabesien. Ilikuwa baada ya…

Continue Reading....

Manchester United Watupwa Europa Ligi

Posted on: May 18, 2016May 18, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Watupwa Europa Ligi

Marcus Rashford alikuwa kivutio baada ya Manchester United kufuzu moja kwa moja kucheza michuano ya ligi ndogo ya ulaya (Europa League) baada ya kuwachapa Bournemouth…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari