Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 60

Author: Yohana Chance

Manchester United Wabeba Ndoo ya FA

Posted on: May 22, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Wabeba Ndoo ya FA

Manchester United wameshinda Kombe la FA baada ya kuwalaza Crystal Palace 2-1 katika fainali iliyochezewa uwanja wa Wembley.Ni mara yao ya kwanza kushinda kikombe hicho…

Continue Reading....

Airtel Kuinua Michezo Kwa Vijana wa Tanzania

Posted on: May 21, 2016 - Yohana Chance
Airtel Kuinua Michezo Kwa Vijana wa Tanzania

Kampuni ya Airtel Tanzania jana Ijumaa Mei 20, 2016 imekutana na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kuzungumzia mipango ya maendeleo wa mpira wa miguu nchini…

Continue Reading....

Ligi Kuu Tanzania Bara Kumalizika Kesho

Posted on: May 21, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu Tanzania Bara Kumalizika Kesho

Michezo ya mwisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kufanyika kesho Jumapili, Mei 22, 2016 kwa timu zote 16 kutinga katika viwanja vinane…

Continue Reading....

Aliyekua Rais wa Soka la Ujerumani Kupigwa Jela Miaka Miwili

Posted on: May 20, 2016 - Yohana Chance
Aliyekua Rais wa Soka la Ujerumani Kupigwa Jela Miaka Miwili

Jopo la maamuzi la Kamati ya maadili ya FIFA limependekeza kuwa aliyekuwa rais wa Shirikisho la soka nchini Ujerumani – DFB Wolfgang Niersbach apigwe marufuku…

Continue Reading....

Serengeti Boys Kukipiga Kesho na Malayasi

Posted on: May 20, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Kukipiga Kesho na Malayasi

Timu ya Taifa ya vijana wa Tanzania wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys siku ya Jumamosi itacheza na Malaysia kwenye mechi yao ya mwisho…

Continue Reading....

Azam Sasa Mambo Safi, Wahispania Washika Usukani

Posted on: May 20, 2016 - Yohana Chance
Azam Sasa Mambo Safi, Wahispania Washika Usukani

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, tayari umefikia makubaliano na wakufunzi kutoka nchini Hispania, Kocha Mkuu Zeben Hernandez na Mtaalamu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari