Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany hana jeraha lolote, licha ya kutolewa kwake katika mechi waliotoka sare ya bao moja kati ya Ubelgiji na Uholanzi.…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Wenger Awapigia Magoti Chile
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiomba Chile kutomuweka hatarini mshambuliaji Alexis Sanchez mechi ya taifa hilo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay.…
Continue Reading....Madaktari Manchester United Wamchafua Mourinho
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anachunguza kila kitu kuhusu kikosi chake cha kwanza baada ya kusikitishwa na utamaduni aliorithi katika klabu hiyo. Mourinho inadaiwa…
Continue Reading....JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti
Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu…
Continue Reading....Malinzi Aula CAF Kamati ya Mageuzi
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Issa Hayatou ameteua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa miongoni mwa…
Continue Reading....Bale Ajipiga Kitanzi Real Madrid Hadi 2022
Klabu ya Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji wa zamani wa Southampton…
Continue Reading....