Mshambulizi chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford ametia sahihi mkataba mpya utakaohakikisha anasalia Old Trafford hadi Juni 2020. Chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 18…
Continue Reading....Author: Yohana Chance
Lionel Messi Kupandishwa Kizimbani Kesho
Nyota wa Argentina Lionel Messi, mmoja wa wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani, anafikishwa kizimbani kesho mjini Barcelona kwa tuhuma za kuipunja Uhispania kwa kukwepa…
Continue Reading....Mshambuliaji wa JKT Ruvu Awa Mchezaji Bora
Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 2016. Musa katika kinganyiro hicho aliwapiku Donald Ngoma…
Continue Reading....Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Yaendelea Kutimua Vumbi
Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2015/2016 inaendelea vizuri katika vituo vinne vya Kagera, Morogoro, Singida na Njombe ambapo itafikia tamati…
Continue Reading....Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni…
Continue Reading....Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daudi Ntibenda Akabidhiwa Madawati 100
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) kimemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daudi Ntibenda madawati 100 yenye thamani shilingi milioni nane ili kupunguza tatizo…
Continue Reading....