Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 54

Author: Yohana Chance

FIFA Yaongeza Sheria 95 Mpya ya Soka

Posted on: June 1, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yaongeza Sheria 95 Mpya ya Soka

Shirikisho la kabumbu la kimataifa FIFA limezifanyia marekebisho kanuni kadhaa za mchezo unaopendwa ulimwenguni wa dimba. Lengo ni kujaribu kuurahisisha mchezo huo. Siku kumi kabla…

Continue Reading....

Jangwani Watu Wamiminika Kuchukua Fomu

Posted on: June 1, 2016 - Yohana Chance
Jangwani Watu Wamiminika Kuchukua Fomu

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ya Young Africans imeridhishwa na mwenendo wa wanachama kwa…

Continue Reading....

Serikali Kuongeza Mbinu za Kulinda Rasilimali za Taifa

Posted on: June 1, 2016 - Yohana Chance
Serikali Kuongeza Mbinu za Kulinda Rasilimali za Taifa

Woinde shizza, Arusha SERIKALI ya awamu ya tano imesema kuwa itaendeleza jitihada za kutunza na kulinda urithi wa dunia ikiwemo kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi…

Continue Reading....

Wagaboni Wapewa Rungu la Kuamua kati ya Stars na Misri

Posted on: May 31, 2016 - Yohana Chance
Wagaboni Wapewa Rungu la Kuamua kati ya Stars na Misri

Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja…

Continue Reading....

RITA Yaeleza Umuhimu wa Kuandika Wosia

Posted on: May 31, 2016 - Yohana Chance
RITA Yaeleza Umuhimu wa Kuandika Wosia

Na; Woinde Shizza, Arusha Wananchi wametakiwa kuepuka dhana potofu kuwa kuandika wosia ni Uchuro,jambo ambalo siyo kweli bali kuandika wosia ni kuepusha usumbufu na migogoro…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Africa World Heritage Arusha

Posted on: May 31, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Africa World Heritage Arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa ‘Africa World Heritage’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. Kulia ni Waziri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari