Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 53

Author: Yohana Chance

Ligi ya Ujerumani Msimu Ujao Kisasa Zaidi

Posted on: June 6, 2016 - Yohana Chance
Ligi ya Ujerumani Msimu Ujao Kisasa Zaidi

Ligi kuu ya Ujerumani ni miongoni mwa ligi sita kubwa ambazo zitaufanyia majaribio mfumo wa matumizi ya waamuzi wasaidizi wa kutumia video yaani Video Assistant…

Continue Reading....

Vardy Kutua Arsenal, Zlatan Ndani ya Man United

Posted on: June 6, 2016 - Yohana Chance
Vardy Kutua Arsenal, Zlatan Ndani ya Man United

Mchezaji wa timu ya taifa ya uigereza Jamie Vardy mwenye umri wa miaka 29 kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na…

Continue Reading....

Copa America Yazidi Utamu, Timu Zajipigia tu

Posted on: June 6, 2016 - Yohana Chance
Copa America Yazidi Utamu, Timu Zajipigia tu

katika Mechi za Copa America ambazo zilikuwa zinapigwa usiku wa kuamkia leo matokeo ni kuwa Haiti wamepigwa 1-0 na Peru, Brazil na Equador wakatoshana nguvu…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Awahakikishia Wanafunzi Kupata Mikopo

Posted on: June 2, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Awahakikishia Wanafunzi Kupata Mikopo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisaini katika Kitabu maalum cha Kampuni ya Jiangsu Jiangdu construction group inayojenga Maktaba Mpya…

Continue Reading....

Pep Gaurdiola Aingiza Jembe la Kwanza Manchester City, Alves Kuondoka Barca

Posted on: June 2, 2016June 2, 2016 - Yohana Chance
Pep Gaurdiola Aingiza Jembe la Kwanza Manchester City, Alves Kuondoka Barca

Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa kati wa Ujerumani IIkay Gundogan kutoka kwa kilabu ya Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka minne. Mchezaji huyo…

Continue Reading....

Samatta na Ulimwengu Kuwavaa Waarabu

Posted on: June 1, 2016 - Yohana Chance
Samatta na Ulimwengu Kuwavaa Waarabu

Mbwana Samatta akitarajiwa kuwasili usiku wa Juni 1, 2016 kutoka Genk Ubelgiji, tayari Thomas Ulimwengu kutoka TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amejiunga…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari