Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 52

Author: Yohana Chance

Kocha wa Zamani wa Nigeria Stephen Keshi Afariki Dunia

Posted on: June 8, 2016 - Yohana Chance
Kocha wa Zamani wa Nigeria Stephen Keshi Afariki Dunia

Mchezaji wa zamani wa Nigeria na baadaye akaja kuwa kocha wa Timu hiyo ya Super Eagles Stephen Okechukwu Chinedu Keshi ameiaga Dunia saa chache zilizopita.…

Continue Reading....

Marekani Yailaza Costa Rica Bao 4 Michuano ya Copa America

Posted on: June 8, 2016June 8, 2016 - Yohana Chance
Marekani Yailaza Costa Rica Bao 4 Michuano ya Copa America

Katika Copa Amerika, Mechi ambazo zimechezwa alfajiri hii, Marekani wamewabamiza Costa Rica bao nne kwa Sifuri, Colombia 2 na Paraguay 1.kesho Brazil atakwaana na Haiti…

Continue Reading....

NEC Wapeleka Bilioni 12 ya BAKAA Kwa Rais Magufuli

Posted on: June 7, 2016 - Yohana Chance
NEC Wapeleka Bilioni 12 ya BAKAA Kwa Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azindua Miradi ya OPEC

Posted on: June 6, 2016 - Yohana Chance
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azindua Miradi ya OPEC

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Daudi Felix Ntibenda ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Murieti kuhakikisha wanajenga Shule ya Sekondari ili kusogeza huduma hiyo kwa…

Continue Reading....

Marekani Itaipa Tanzania Dola Milioni 800

Posted on: June 6, 2016June 6, 2016 - Yohana Chance
Marekani Itaipa Tanzania Dola Milioni 800

Uhusiano kati ya Marekani na Tanzania unaonesha dalili za kuimarika licha ya nchi hiyo kukatiza msaada wa awamu ya pili ya mradi wa changamoto za…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Asaini Kitabu cha Maombolezo Katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi

Posted on: June 6, 2016June 6, 2016 - Yohana Chance
Rais Dk Magufuli Asaini Kitabu cha Maombolezo Katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari