Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Yohana Chance
  • Page 47

Author: Yohana Chance

Hispania Yakiona cha Moto dhidi ya Croatia

Posted on: June 22, 2016 - Yohana Chance
Hispania Yakiona cha Moto dhidi ya Croatia

Timu ya Croatia imeichapa Hispania jumla ya magoli 2 – 1 katika mchezo wa kusisimua wa kundi D wa michuano ya Kombe la mataifa ya…

Continue Reading....

Siku ya Mtoto wa Afrika Ilivyofana Wilayani Arumeru

Posted on: June 21, 2016June 21, 2016 - Yohana Chance
Siku ya Mtoto wa Afrika Ilivyofana Wilayani Arumeru

Meneja wa bank ya CRDB tawi la Usa River wilayani Arumeru mkoani arusha akimlisha keki moja ya mtoto alieshiriki katika maadhimisho ya siku ya mtoto…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Afuatilia Mjadala Bungeni

Posted on: June 21, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Majaliwa Afuatilia Mjadala Bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni mjini Dodoma jana Juni 20, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa…

Continue Reading....

Ramsey Aipeleka Wales mbele Michuano ya Euro

Posted on: June 21, 2016 - Yohana Chance
Ramsey Aipeleka Wales mbele Michuano ya Euro

Timu ya Wales imefanikiwa kuilaza Urusi kwa mabao 3-0 katika mechi ya mwisho na muhimu ya makundi jana usiku. Aaron Ramsey na Neil Taylor na…

Continue Reading....

Giorgio Marchetti wa EUFA Asifu Michuano ya Euro

Posted on: June 21, 2016 - Yohana Chance
Giorgio Marchetti wa EUFA Asifu Michuano ya Euro

Ongezeko la timu hadi 24 katika kombe la Ulaya, Euro 2016 halijaathiri ubora wa mchezo licha ya kuwa michezo hii imeshuhudia magoli machache kuliko mashindano…

Continue Reading....

Yanga Yatua Uturuki Ikijiwinda dhidi ya TP Mazembe

Posted on: June 21, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yatua Uturuki Ikijiwinda dhidi ya TP Mazembe

YANGA SC tayari imewasili mjini Antalya, Uturuki kwa kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wake wa pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari